Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » YASADIKIKA DC AJITUMBUA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA.



Mkuu wa wilaya Gabriel Mnyele ameachia wadhifa wake kwa sababu zake binafsi.

Akizungumza na gazeti la Habari Leo, Mnyele alisema kwamba “ukiteuliwa na mamlaka husika inatoa taarifa na ukiondoka mamlaka husika inatoa taarifa kwa hiyo mtafuteni msigwa (Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu)” mkuu wa mkoa hakupatikanakuelezea kwa undani uamuzi huo, lakini gazeti la habarileo limethibitiishiwa na viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Uyui kuwa amejiuzulu wadhifa huo.

Kwa mujibu wa taarifa yao, mnyele alipita kila idara za Halmashauri ya Wilaya  hiyo kuwaaga akianzia na ofisi yake.


Taarifa za awali zinasema kuachia kwake ngazi kunatokana na kutingwa na majukumu mengi binafsi aliyonayo.
«
Next
MAREKANI : MAHAKAMA YAMKUTA ROBIN THICKE NA HATIA YA UNYANYASAJI KWA FAMILIA.
»
Previous
MADEE AELEZA JUU YA ISHU YA YEYE KUPORA SIMU

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC