Leo hot Bongo 255 imekuandalia unajimu, ifahamike kwamba kila binadamu
kulingana na tarehe yake ya kuzaliwa kunavitu ambavyo anahusiana navyo bila
yeye kujua, vitu hivyo huchangia kuathiri maisha yake kwa njia moja ama
nyingine. Unajimu ama kwa lugha iliyozoeleka kwa Kiswahili ni utabiri wa nyota.
Katika mataifa yaliyoendelea watu wengi hupenda kufatilia na kujua vitu vilivyo
shikana na maisha yao.
Unajimu kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa unakuwezesha wewe kujua na
kutambua kuwa ni mtu wa aina gani, vitu uvipendavyo, watu wanaweza kuwa
marafiki zako bila kukwaruzana, kazi ambazo unaweza kuzifanya kwa ufasaa, mtu
anayeweza kuwa mpenzi wako na mkafika mbali kama mke na mume, mtu anayeweza
kuwa boss wako na vingine vingi.
Vile vile unajimu unaweza kukusaidia kujua rangi zako za bahati namba za
bahati na siku za bahati. Hivyo baada kujua kua watu wengi hupenda kujua vitu
vinavyo husu maisha yao na wafanye nini ili wafanikiwe Hot Bongo 255
imeamuakuanza kukupa dondoo za Nyota yako. Leo kwa kuanza tunaanza na nyota ya
kaa.
NYOTA YA KAA
Juni 22 hadi Julai 22
Tabia Chanya za Nyota ya Kaa
Mwenye Hisia na Upendo
Muingiliaji na Mbunifu
Mjanja na Mwenye tahadhari
Mlindaji na Mwenye huruma
Muingiliaji na Mbunifu
Mjanja na Mwenye tahadhari
Mlindaji na Mwenye huruma
Tabia Hasi za Kaa....
Wasio na msimamo na wasiotabirika
Wenye hisia zilizopitiliza na huguswa sana
Wang’ang’anizi na wagumu kuachia
Wenye hisia zilizopitiliza na huguswa sana
Wang’ang’anizi na wagumu kuachia
KAZI WATAKAZOWEZA KUFANYA
>Uana habari
>Uana siasa
>Uandishi
VITU
WAPENDAVYO…
1)Sherehe
2)Watoto
3)Kipaji
4)Nyumbani
VITU
WASIVYOVIPENDA…
1)Kushindwa
2)Kupingwa
3)Kuambiwa cha kufanya
4)Ushauri uwe mzuri au mbaya
5)Kero
au Karaha
NAMBA ZA
BAHATI NI…
2,7 na 9.
RANGI ZA
BAHATI NI…
SILVA Na
BLUU
SIKU ZA BAHATI NI…
Jumanne,Alhamisi,Ijumaa na Jumapili
NYOTA AMBAZO
ANAWEZA KUWA NAZO KATIKA MAPENZI NI…
>NG’OMBE 20. Aprili -20. mei
>SAMAKI 19. Februari – 20 machi
>NG’E 23 October
– 21 Novemba
>MASHUKE
23 agasti – 22 septemba
NYOTA AMBAZO
HAWEZI KUWA NAZO KATIKA MAPENZI NI…
>NDOO 20
Januari – 18 Februari
>MSHALE 22 Novemba – 21 Desemba
IMEANDALIWA
NA LUSSAGANA
No comments