Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » SOMA HABARI YA KUSIKITISHA YA MTOTO MDOGO ALIYEMUANDIKIA BARUA TRUMP


Bana Al- Abed mtoto mwenye umri wa miaka 7 alimuandikia barua ya kusikitisha ya wazi rais wa Marekani Donald Trump akimtaka awasaidie watoto wa Syria wanaoathirika na vita kwa njia yoyote ile.

Barua hiyo ya wazi Mtoto Bana Kutoka  Syria alimuandiakia kupitia mtandao wa TWEETER huku akimsihi kuwa endapo muheshimiwa Trump atafanya hivyo basi yeye atakuwa tayari rafiki yake.

Katika barua hiyo Bana ameeleza jinsi alivyopoteza marafiki zake ambao alikua akisoma nao walio kufa baada ya shule yao kupigwa bomu. Bana alidai kuwa alitamani awe na marafiki zake wakifurahi na kucheza pamoja.
Bana alisema kuwa ;

Nimeishi Syria maisha yangu yote kabla ya kuukimbia mji wa alepo mashariki kutokana na vita mwaka jana mwezi desemba. Mimi ni sehemu ya watoto waliothirika na vita vya Syria
Ila kwa sasa nina nyumba yangu ya amani huku Turkey Aleppo. Nilikuwa shule ila punde ikaharibiwa baadhi ya marafiki zangu walikufa.        

Kulingana na taarifa umoja wa mataifa unadai kuwa zaidi ya wananchi 4.8 milion wanaishi uhamishoni na wangine 6.3 milioni wamevurugiwa makazi yao.

Aitha muheshimiwa D. Trump amesign mkataba wa kuamuru nchi za kiarabu kutoingiza wakimbizi marekani.
Lakini mtoto Bana aliweza kutweet nakukosoa kua kitu cha kuwazuia wakimbizi marekani si kizuri.

To @realdonaldtrump: Dear Trump, banning refugees is very bad. Ok, if it's good, I have an idea for you. Make other countries peaceful.


Story ya Banna inafananishwa na mtoto Anna aliyeuawa na Adolf Hitler ambaye alikua akiamina ukiwa mzawa wakijerumani basi wewe ni zaidi ya kila mtu hivyo waliokuwa zaidi ya ujerumani waluiuwawa hasa waisrael akiwemo mtoto Anna.



«
Next
Assistant Branch Manager at Tanzania Postal Bank PLC (TPB)
»
Previous
MAREKANI : MAHAKAMA YAMKUTA ROBIN THICKE NA HATIA YA UNYANYASAJI KWA FAMILIA.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

2 comments

SOMA HABARI YA KUSIKITISHA YA MTOTO MDOGO ALIYEMUANDIKIA BARUA TRUMP

MOVIE

Cat-5

MUSIC