leo tunakuletea picha mbili za macelebrity ambazo kwa kuzitazama tu lazima upate jibu wahusika wa mavazi hayo hawakulidhika nayo utadhani walilazimishwa kuyavaa.
imekua nikawaida kwa mwanamuziki huyu kutupia vivazi ambavyo huonyesha maumbile yake. ukitazama picha hizo hapo juu Rihanna anaonekana kuficha baadhi ya maumbile yake na kipambo cha mkononi. hakua huru kabisa.
hapo tunamshudia bidada BJORK akiwa katik Red carpet na mapozi yasiyo eleweka yani zero confidence
unaweza sema alivaa vazi hilo at a gun point.Hivyo ni vema ukawa makini sana katika uchaguzi wa mavazi yako katika events mbali mbali. Red carpet inahitaji umakini wa hali ya juu sana hasa macelebrity ambao macho mengi hua kwao katika hafla hizo
No comments