Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » Alichosema Mhe. Tundu Lissu kuhusu kipimo cha haja ndogo.

Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS),  ambaye  kwa sasa yupo nje kwa dhamana dhidi ya kosa la uchochezi, amefunguka jinsi maaskari walivyomkamata na kutaka kupima haja ndogo bila sababu maalumu.
Mhe Lissu amesema niliwakatalia kwa sababu nilishitakiwa kwa kosa la uchochezi na sio kosa lingine na kama wangemshitaki kwa kosa lingine linalomtaka afanye hivyo basi kisheria angefanya hivyo.
“Mimi nimeshtakiwa kwa uchochezi kupima mkojo, unadhibitishaje uchochezi na kupima mkojo? wakaniambia kuna vitu wanavitafuta, mimi nikawambia mkanishtaki na vitu hivyo kwanza ili muende kwa hakimu mkapate order ili mje mchukue mkojo wangu… anyway mimi niliwakatalia”,amesema Tundu Lissu kwenye mkutano wake na waandishi wa habari mapema leo baada ya kuachiwa kwa dhamana.
Hata hivyo Mhe Lissu amesema asingekubali kupima mkojo kwani kufanya hivyo angebambikiziwa kesi na kutengeneza headline kwenye magazeti.
«
Next
MTAZAME MR. NICE KATIKA VIDEO MPYA YA HARMONIZE - SINA
»
Previous
Maalim Seif Akosoa Maamuzi ya Spika Wa Bunge, Job Ndugai.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC