Katika mchezo maarufu wa Big brother ambapo wanaijeria wameamua kufanya show inayoshirikisha nchi yao pekee kwa lengo la kukuza na kutangaza utamaduni na taifa lao. show hiyo ilikuwa na washiriki 12 ambapo 5 tayari wameshatoka na mshiriki Kemen akifukuzwa kwa kosa la unyanyaswaji wa kijinsia.
Kamera za mjengoni zilimuonesha Kemen ambaye alikuwa amelala karibu na mshiriki mwenzie wa kike Tboss ambaye alikuwa amelala usingizi. hivyo Kemen bila ridhaa ya mrembo huyo aliingiza mkono wake sehemu za siri za Tboss kitu ambacho kilimfanya aanngukie katika kosa hilo
TBOSS MDADA ALIYEFANYIWA KTENDO HICHO NDANI YA BIG BROTHER
Big brother alimpa Kemen nafasi ya kujitetea lakini Big brother hakulizishwa na utetezi huo na hatimaye kumfukuza bila kumpitisha mbele ya steji kuongea na mashabiki kama ilivyo kwa washiriki wengine.
Tazama kipande cha video kikimuonesha Kemen akifanya kosa hilo kwa Tboss
No comments