Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » Maalim Seif Akosoa Maamuzi ya Spika Wa Bunge, Job Ndugai.

Image result for maalim seif
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi, CUF Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kwamba hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuwavua Ubunge, Udiwani na kuteua wengine wapya inalenga kudhoofisha kambi ya Wabunge wa CUF na Muungano wa Ukawa.
Maalim Seif amesema, Watanzania wanapaswa wajikumbushe kwamba hata kama hicho kinachoitwa ‘kuwafukuza uanachama’ Wabunge halali wa CUF kingekuwa kiko sawa, hatua kama hiyo hufuata taratibu zote za kisheria na kikanuni za Bunge kujiridhisha kwanza.
Amesema Spika amejiridhisha vipi ikiwa hata hakuwasiliana na Katibu Mkuu wa Chama ambaye kwa mujibu wa Katiba ya CUF ndiye Mtendaji Mkuu wa shughuli za chama na pia kwa nafasi hiyo ndiye Katibu wa vikao vya Mkutano Mkuu wa Taifa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama
Amesema yeye kama Katibu, alimuandikia Spika Ndugai barua, Jumanne, Julai 25 akimueleza kwamba hilo lililoitwa Baraza Kuu la Uongozi la CUF halikuundwa na wajumbe halali wa Baraza Kuu.
Ameongeza kwamba, Mh Ndugai ameyapuuza yote hayo kwa sababu ni kinyume na mkakati wa Dola wa kuihujumu CUF na kuua demokrasia Tanzania. 
  source BONGO 5
«
Next
Alichosema Mhe. Tundu Lissu kuhusu kipimo cha haja ndogo.
»
Previous
MAALIM SEIF AONGOZA MAMIA YA WANACHAMA WA CUF KUTEMBELEA WAGONJWA.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC