Mfalme
wa miondoko ya Pop Michael Jackson
katika designs na fashion alizokua akipenda kuvaa katika maonesho yake ni
pamoja na gloves nyeupe. Kitu ambacho
ulikua hukifahamu juu ya gloves hizo ni kwamba:-
Wakati
wa uchezaji wake pindi akiwa jukwaani alikua akibreak dance kwa kukunja vidole
vyake kimadoido kitu ambacho watazamaji wengi walikua hawakioni vizuri hivyo
walishauriana na designer wake BILL WHITTEN avae
yeye pamoja na madensa wake gloves nyeupe ili waweze kuonekana. japo yeye aliamini mkono mmoja unatosha sio lazima miwili.
Na
glove ilitumika kama ishara ya Mfalme huyo wa pop pindi cha tour ya album yake
ya Thriller.
No comments