Kwa wale wapenzi wa movie hii ni movie mpya aina ya Drama na komedi ndani yake, WAR DOGS; Mfanyabiashara anayejihusisha na maswala ya masaji anakutana na rafiki aliyesoma naye kitambo, wawili wanaungana na kujihusisha na biashara za silaha za moto. wanatajirika kupitia biashara hiyo, dili zao zinaanza kubadilika baada ya kuanza biashara na jeshi la AFghan.
Director: todd phillips
Waandishi:stephen chin , todd phillips , jason smilovic , guy lawson
Mastar:Jonah Hill, Miles Teller, Ana de Armas, J. B. Blanc, Bradley Cooper, Barry Livingston
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments