Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » MADEE AELEZA JUU YA ISHU YA YEYE KUPORA SIMU



Kupitia kipindi cha 360 clouds Tv Rais wa Manzese Madee ameeleza sakata lililokuwa likivuma mitandaoni nakueleza kuwa hakupora simu yoyote na kwamba kilakitu kilifanyika mbele ya polisi. Hivyo madee alihoji kuwa unaweza kupora kitu kwa kumshirikisha polisi.

Madee anadai chanzo cha mkasa huo ni mchezo mchafu uliochezwa na wenzake alipokwenda Sweden stock home  kushuti video yake ambako alikutana na kasumba za utapeli kiasi cha kumchelewesha tiketi yake ya ndege ya kuelekea Austria.

Na aliporudi nyumbani Tanzania alibahatika kupata taarifa ya mmoja wa wadau wale kuwepo nchini. Hivyo Madee akafanya taratibu za kipolisi na kuweza kumchukulia RB na kufanikiwa kumtia nguvuni. Hivyo mbele ya makubaliano na polisi mama wa kijana huyo alikubali kumpa madee kiasi cha pesa pamoja na simu yake mpaka deni lake litapomalizika ili kijana huyo aweze kuwahi ndege ya kurudi nchi aliyokuwa akifanya shughuli zake.

Hivyo taarifa za kuwa Madee alipora simu zilikuwa za uzushi na kutaka kumchafua rais huyo na kumsononesha mwanae alidai made.


Kwa sasa Madee anatamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA ambayo imeimbwa na maudhui ya kuelimisha jamii.
«
Next
YASADIKIKA DC AJITUMBUA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA.
»
Previous
MBUNGE WA ROMBO (CHADEMA) ATAJIHUDHURU UBUNGE BAADA YA WIKITATU KWA MASHARTI.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC