Brand New Music ; MSANII MARIDADI AMEACHIA NGOMA YAKE INAYO KWENDA KWA JINA LA - PETE YA UCHUMBA.
PETE YA UCHUMBA ndiyo ngoma inayo mtambulisha msanii MARIDADI ni track poa sana kwa kusikiliza.
. katika Mahojiano na HOT BONGO255 mwanamuziki huyo amedai yupo mbioni kuachi track nyingine hivyo mashabiki wa Bongo Fleva wawe tayari kushuhudia ujio wake katika tasnia ya MUZIKI.
sikiliza hapa nyimbo mpya ya MARIDADI.......
No comments