Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » MAREKANI : MAHAKAMA YAMKUTA ROBIN THICKE NA HATIA YA UNYANYASAJI KWA FAMILIA.



ROBIN THICKE

Mahakama imemkuta mwanamuziki Robin Thicke na hatia ya Vurugu za ndani yani Domestic violence mara kadhaa.

Mzazi mwenza wa Robin ambaye waliachana mwaka 2015 alifaili kesi ya kuiomba mahakama imvue madaraka bwana Robin ya kulea mtoto kwa muda kwa kosa la unyanyasaji wa kimwili kwa mwanae wa miaka 6 – Julian.

Kwa amri ya Mahakama nchini humo imemtaka Robin akae yadi 100 mbali na mwanae Julian, Paula na mama wa Paula.


Robin Thicke ni mwanamuziki kutoka marekani na producer ambaye amefanya kazi na wasanii kadhaa kama Christioan Aguillera, Nick Minaj, Pharell Williams, Usher, Pink na wengine kibao.


ROBIN AKIWA NA FAMILIA YAKE AMBAYO MAHAKAMA IMEMUAMURU AKAE MBALI NAYO KWA YADI 100 SAWA MITA 91.44

«
Next
SOMA HABARI YA KUSIKITISHA YA MTOTO MDOGO ALIYEMUANDIKIA BARUA TRUMP
»
Previous
YASADIKIKA DC AJITUMBUA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC