Mtandao wa simu wa MTN umeingiza wimbo ya Ali Kiba AJE katika list ya miito ya simu yani Caller Tunes nchini South Africa. Hii inadhihirisha jinsi gani Muziki wa Bongo unavyo zidi kukubalika Africa.
Kupitia Oficial page ya Bongo Celeb huyo ya Instagram amepost picha na kuelekeza jinsi mashabiki wake wa South Africa wanavyoweza kuupata wimbo huo na kuutumia kama muito wa simu zao kupitita mtandao wa MTN.
No comments