KELVIN WA HOME ALONE
KELVIN akiwa
na umri wa miaka nane aliweza kuigiza movie ya Home
alone ambapo familia yake ina msahau ndani ya nyumba na kuelelea Paris
movie hii iliachiwa tarehe 6 november 1990. Ni
movie nzuri ambayo huwavutia watoto wengi kwa komedi zake Kelvin ambaye jina
lake halisi ni MACAULAY
CULKIN na huu hapa chini ndio muonekano wa sasa wa mtoto huyo.
STEVE WA TAMTHILIA YA FAMILY MATTERS
JALEEL WHITE ni
msanii wa komedi aliyetamba katika tamthilia ya Family Matters (1989-1998) akiwa
na umri wa miaka 12 akijulikana kwa jina la steve. Na kwa sasa huu hapa chini ndio muonekano wa mchekeshaji huyo
BINK WA BABY'S DAY OUT
JACOB JOSEPH WORTON
na ADAM ROBERT WORTON waliigiza kama baby “bink” katika movie ya Baby’s day out mwaka 1994
na movie hiyo kupata umaarufu mkubwa sana duniani. Kitu ambacho ulikua hufaham
ni kwamba, watoto hao walikua mapacha
waliofanana na ndio maana waliweza kuigiza kama mtoto BINK katika nyakati tofautu na walikua na miezi
sita tangu kuzaliwa kwao ila walikua na uwezo mkubwa wa kupokea maagizo hivyo
kufanikisha movie ya baby’s day out.
ADAM WORTON KUSHOTO KATIKATI NI BINK NA KULIA NI JACOB WORTON
No comments