Home
»
INTERNATIONAL NEWS
»
MWAJILIWA AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUSAMBAZA UJUMBE WA KIBAGUZI FACEBOOK DHIDI YA MICHELLE OBAMA.
MWAJILIWA AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUSAMBAZA UJUMBE WA KIBAGUZI FACEBOOK DHIDI YA MICHELLE OBAMA.
ATLANTA - Jane Wood Allen amepoteza ajira yake baada ya kuandika ujumbe wa kibaguzi wa rangi uliomlenga First Lady Michelle Obama kwa kumuita NYANI yani (Gorilla). Jane kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika kama ifuatavyo:-
“Atatumika vipi katika Dunia halisi, kwa kutokuwa tena namalipo ya mapumziko yake ya starehe?.” Huku akimuita First Lady Michelle NYANI.
Allen alihitimisha ujumbe huo kwa kusema Michelle ni aibu kwa Marekani.
Huu ndio ukurasa wa jane Allen wa Facebook.....
No comments