Eminem atangaza ujio wa album mpya,
Hiphop staa Eminem ametangaza ujio wa album mpya baada ya miaka mitatu ya ukimya. Album ya mwisho wa Eminem ilikuwa The Marshall Mathers LP 2 ya mwaka 2013.
Eminem aka Slim Shady ametangaza hivi kwenye mtandao wa twitter “Don’t worry, I’m working on an album! Here’s something meanwhile.”
Hii ni audio ya dakika nane ya kampeni yake ya album mpya
No comments