Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » BRAD PITT AGOMA KUIJIBU TALAKA YA JOLIE




BRAD PITT hatosaini wala kulikubali ombi la Talaka kutoka kwa Mkewe ANGELINA JOLIE

Brad amefikia uamuzi huo, kwa sababu ya kuona itazua mgogoro wa mambo ya kisheria na mvutano kati yao, hivyo kupelekea kuwaathiri watoto wao kisaikolojia.

Jumatano ya wiki hii, ndio ilikuwa siku ya Mwisho ya staa huyo wa filamu 'Brad Pitt' kujibu Talaka iliyofunguliwa na mkewe Jolie mapema mwezi uliopita, lakini kwa ripoti za TMZ zinasema kuwa Brad anataka sana kuitafuta haki ya umiliki wa watoto wao baada ya kuachana, lakini anahofia italeta vita kubwa kati yake na Jolie.

Infoz nyingine zinasema, inawezekana Mahakama ikatupilia mbali kilichoombwa kwenye Talaka na Angelina Jolie, na wote wawili wakayamaliza pembeni, na kwa 'ground' hiyo kuna Infoz zimenifikia kwamba wote wamekubali.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC