STAR WA TITANIC NDANI YA MFANANO DOT COM NA MSWEDEN
LEORNAD DICAPRIO ni star maarufu sana Duniani katika uigizaji ambaye ameigiza movies kama vile The Departed, Inception, Titanic nanyingine nyingi kufikia mpaka kunyakua tuzo za oscar. ukiangalia picha ya kushoto anaonekana Leornad Dicaprio jinsi alivyo kwa sasa, na kama ulishawahi kuangalia movie ya Titanic ni dhahiri kuwa picha ya pili ndivyo Leornad jinsi alivyo kuwa akifanana wakati wa movie ya titanic. lakini picha ya pili sio Leonard bali ni kijana kutoka Sweden anaye julikana kwa jina bartender Konrad Annerud, kijana huyo kutoka sweden amefanana na star huyo kiasi cha watu kumuita Dicaprio huku page yake ya Instagram ikiwa na followers zaidi ya 200,000
No comments