Rapper Lil Wayne kutoka kundi la Cash Money ametangaza kustaafu Muziki kupitia mtandao wa twitter. Msanii huyo mwenye umri wa miaka 33 ambaye amekua katika mgogoro na Cash Money Records kuhusu kuchelweshwa kwa album yake ya jina la The Carter V.
Lil Wayne alitweet kwa kusema "kwa sasa sina Utetezi tena na nimezidiwa kiakili na ni natoka kwa amani nashukuru mashabiki wangu ila nimemaliza."
No comments