Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » POGBA KUTUA MAN U KWA MKATABA WA MIAKA MITANO

Ni muda muafaka kurejea Old Trafford asema Paul Pogba baada ya uhamisho wake wa Paundi 89 ulioweka rekodi ya dunia kwenda Manchester United.
Kiungo huyo mwenye miaka 23 anarejea tena klabuni hapo baada ya miaka minne alipoelekea Juventus kwa ada ya uhamisho wa pauni 1.5 milioni mwaka 2012.
Pogba, ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano ameongeza kuwa ''hii ni klabu sahihi kwangu kupata mafanikio ninayoyahitaji.''
Meneja wa Man U Jose Mourinho amesema Pogba atakuwa muhimili mkubwa wa klabu hiyo kwa kipindi kirefu kijacho.
United itailipa Juventus ambao ni mabingwa wa Italia Euro 105 milioni sambamba na Euro 5 milioni ikiwa hii ikitegemea kiwango chake kitakavyokuwa.

Uhamisho uliokuwa wa gharama na kushikilia record ni wa Greth Bale aliyetokeaSpurs kwenda Real Madrid ukiwa ni paundi 85
«
Next
BOW WOW KUSTAAFU MUZIKI MWAKA HUU 2016
»
Previous
Download New Video :Hii Hapa nyimbo ya Chege na Diamond: Waache Waoane.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC