Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » BOW WOW KUSTAAFU MUZIKI MWAKA HUU 2016


Mwanamuziki Bow wow  ambaye kwa jina halisi ni Shad Gregory Moss, aliye zaliawa March 9, 1987. amietangaza kustaafu muziki mwaka huu akiwa na umri wa miaka 29.

Bow wow alianza kurap (hip hop) akiwa na miaka mitano na mwaka mmoja baadaye alifanya vema sana katika jukwaa la Chronic Tour na kumfurahisha rapper Snoop Dogg ambaye baadaye alimpa jina la usanii ambalo ni Lil Bow wow.

Bow wow ametamba kwa nyimbo mbali mbali ikiwemo "like you" aliyo mshilikisha Ciara na "Let me hold you" aliyo mshirikisha Omarion.

Bow wow ametamba pia katika movies mbali mbali kama "like mike", na "lottery ticket"

«
Next
WATCH NEW MOVIE TRAILER: RACE TO REDEMPTION
»
Previous
POGBA KUTUA MAN U KWA MKATABA WA MIAKA MITANO

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC