Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » LIST YA BAADHI YA WASANII WATAKAO VURUMISHA TAMASHA LA FIESTA 2016


Tamasha la Fiesta ambalo hufanyika kila Mwaka chini ya Clouds Media limeanza kwa kufanya usajili wa Wasanii watakao piga show mwaka huu. Tamasha hilo halikuweza kufanyika  Mwaka Jana il lupisha Uchaguzi Mkuu,basi mwaka  huu 2016 Tamasha litafanyika kama kawaida iliyopewa kama "TigoFiesta" yenye kauli Mbiu "IMOOOO" kuzinduliwa Mkoani Mwanza tar 20.08.2016.

Katika Usajili wa Wasanii watakaotumbuiza,list ya Kwanza ilitajwa pale B.O.B Kinondoni na Jumla ya Wasanii watano walitajwa na kusainishwa Mikataba pia kukabidhiwa jezi zao Maalum za Fiesta 2016.

Wasanii waliotajwa mpaka sasa ni;
1. Ben Paul
2. Maua Sama
3. Bill Nass
4. Rubby
5. Mr Blue
6. Christian Bella

Wengine Waliosahiliwa Mwenge ni hawa Wafuatao;
1. Navy Kenzo
2. Fid Q
3. Weusi
4. Ommy Dimpoz
5. Baraka Da Prince
6. Nandy
«
Next
DOGO JANJA AMERUDI KWA KASI YA 4G
»
Previous
STENDI KUU YA MABASI DAR ES SALAAM KUJENGWA KATIKA KIWANGO CHA KIMATAIFA

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC