Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» »Unlabelled » MUUGUZI SALOME KARWAH APOTEZA UHAI BAADA YA WAUGUZI KUOGOPA KUMSHIKA


Muuguzi raia wa Liberia Salome Karwah ni baadhi ya wale waliotajwa na jarida la Time magazine kuwa mtu bora wa mwaka, mwaka 2014 baada ya kushiriki katika vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola
Image result for SALOME KARWAH
Alifariki mjini Monrovia wiki iliyopita baada ya kujifungua mtoto wa kiume.
Mumewe aliambia BBC kuwa wauguzi walikuwa na hofu ya kumgusa kwa kuwa walihofia kuambukizwa ugonjwa wa Ebola, licha ya kupatikana kutokuwa na ugonjwa huo hivi majuzi.
Hospitali alimokuwa haijasema lolote na maafisa wanasema kuwa wanachunguza kifo chake.
James Harris alisema kuwa mkewe alikuwa amejifungua mto wao wa nne kwa njia ya upasuaji tarehe 17 mwezi Februari lakini alirudishwa hospitalini baada ya kukumbwa na matatizo.
"Walilazimika kungoja ndani ya gari kwa saa tatu, kwa sababu wauguzi walikuwa na hofu ya kumgusa," bwana Harris alisema.
Kisa cha Salome kinaashiria unyanyapaa unaowakumba walionusurika kutokana kwa ugonjwa huoHaki miliki ya picha
Image capti
"Nilienda mimi mwenyewe kwenye chumba cha dharura nikachukua kiti cha magurudumu na kumpeleka mke wangu kwenye chumba cha upasuaji."
"Kilichoniumiza zaidi ni kuwa muuguzi ambaye alikuwa kwenye zamu alikuwa Facebook," alisema Harris.
Anaamini kuwa wahudumu wa afya hawakuchukua hatu za dharura, kwa sababu alikuwa amenusurika kutoka kwa Ebola na labda walifikiri kuwa bado alikuwa na ugonjwa huo.
«
Next
KUTANA NA KOMEDI YA STAN BAKORA JUU YA LIST YA MAJINA 10 YA WASANII WAHALIFU.
»
Previous
New Music Video : TMORE FLAVOR - ANISAMEHE

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC