Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » MSICHANA ALIYEKUFA KWA KANSA MWILI WAKE WAHIFADHIWA MPAKA SIKU ITAKAPOPATIKANA TEKNOLOJIA YA KUMFUFUA

 Related image

LONDON UK. - Binti wa miaka 14 amepata haki yake ya kutaka mwili wake ugandishwe na uhifadhiwe kwa ajili ya kufufuliwa pindi tiba ya ugonjwa uliokuwa ukimkabiri ikipatikana. 

mwili wa binti huyo uliandaliwa na kuhifadhiwa punde kabla ya kifo chake. hivyo nivigumu kusema kwamba amekufa. awali binti huyo alikuwa akitumia internet kujua kama inawekana kwa mwili wake kuhifadhiwa ili kuweza kuamshwa pindi tiba yake itakapo patikana. na alibahatika kupata utaalam uitwao CRYONICS yani ugandishwaji wa mwili mpaka tiba itakapo patikana na kuweza kuamshwa tena kwa miaka mingi zaidi ya 100.

Utaalamu huo bado haujathibitishwa kuwa unaweza kurudisha uhai wa mtu kweli au lah. lakini kwa sasa mwili wa binti huyo umegandishwa kwa kutumia liquid ya nitrogen kwa mara zisizo hesabika katika kiwango cha ubaridi zaidi ya 130c huko Marekani.
 Image result for cryonics patient

PICHA KUONYESHA JINSI MILI YA WATU INAVYOHIFADHIWA KWA KUTUMIA UTAALAMU WA CRYONICS




«
Next
VIDEO : ALICHOKISEMA ESTER BULAYA BAADA YA KUSHINDA KESI YAKE JANA DHIDI YA STEVEN WASILA.
»
Previous
New Music Video: PHYNO – ABULO

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC