Mchezaji bora kwa mashindano ya mwaka 2014 Oshoala alikuwa katika kiwango cha hali ya juu na kuisambaratisha ngome ya Mali.
Francisca Ordega anayechezea nchini Marekani na Uchechi Sunday wote walizifungia timu zao.
Katika mchezo unaofuata Nigeria watamenyana na mahasimu wao wakubwa wa ukanda wa Magharibi Ghana siku ya Jumatano.
No comments