Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » BEYONCE NA JAY-Z WAMPA SAPOTI HILLARY CLINTON


 Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi wa urais nchini marekani ambapo uchaguzi huo utafanyika tarehe 8 Novemba 2016. Wasanii wanaokubalika nchini marekani ambao ni Jay Z na Beyonce wameamua kumpigia promo mama Hillary Clinton kwa kumualika katika moja ya maconcert yao jana Ijumaa na kumkutanisha na mashabiki wao pamoja na wadau nguli wa muziki nchini humo. 

Wasanii hao walimpa chansi mama Hillary ya kuhutubia mashabiki waliokuwa wamehudhuria concert hiyo mjini Cleverland. 

Tazama video hapa.....

«
Next
MATOKEO YA MECHI ZA LEO MAN CITY 1-1 MIDDLESBROUGH PAMOJA NA HIGHLIGHTS ZAKE
»
Previous
New Music Video : M2THE P ft DENJAVU - NAKUWAZA

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC