HATIAMAE CHURA ATOKA KIFUNGONI.
Baada ya nyimbo ya snura inayokwenda kwa jina la Chura kufungiwa kutokana na sababu kadhaa zilizo ifanya ifungiwe tarehe 5 mai mwaka huu, hatimae Mwanamuziki Snura amefanikiwa kuruhusiwa kuipiga nyimbo hiyo.
Hii ni baada ya kukata rufaa wizarani na kukizi masharti waliyokubaliana na wizara ambayo ni kutengeneza video mpya. sasa ngoma hiyo imeruhusiwa kupigwa radioni na na katika TV.
Snura amekutana leo na waandishi wa habari na kunena hayo.
No comments