Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » BARCELONA WAICHAPA MAN CITY 4 - 0, PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI ZINGINE ZILZO CHEZWA USIKU.



Kwa mara ya tano Man City wanakubali kutoka uwanjani vichwa chini mbele ya Barcelona baada ya kupokea kichapo cha Goli nne sifuri katika uwanja wa Camp Nou.

Magoli ya Barcelona yalifungwa na Neymar na mfungaji wa kila mara Leonel Messi. Katika Mechi hiyo mchezaji Neymar Jr alikosa penalti katika dakika ya 87 ila aliinua shangwe za mashabiki wa timu yake dakika mbili mbele (89) baada yakufunga goli zuri lililotokana na assist ya Leonel Messi.


Ushindi wa Barcelona unazidi kuwaweka kileleni katika kundi lao wakiwa na pointi 9 huku wakifuatiwa na Man City wakiwa na point 4 tu.


Katika mechi zingine zilizochezwa  usiku huu Paris St German wameshinda goli 3-0 dhidi ya Basel, Arsenal 6-0 Ludogorets, Celtic 0-2 Borussia M'Gladbach, Bayern Munchen 4-1 PSV, Fc Rostov 0-1 Atletico Madrid na SSC Napoli 2-3 Besiktes.
«
Next
VIDEO : TAZAMA HIGHLIGHTS ZA MAGOLI YA ARSENAL WALIOIFUNGA LUDOGORETS GOLI 6 - 0
»
Previous
PICHA KADHAA KATIKAFASHION AND DESIGN

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC