VIDEO: BELGIUM vs SPAIN (0-2)
Ni katika mechi ya kirafiki kati ya Belgium na Spain ambapo wakali kutoka hispania wakiongozwa na mchezaji wao mahiri kabisa Diego Silva wameweza kuibuka na ushindi kwa magoli mawili kwa sufuri yaliyopatikana katika dakika ya 34 na 62. Goli la kwanza lilifungwa kawaida huku la pili likipatikana kwa njia ya penalti.
KAMA HUKUITAZAMA MECHI BOFYA HAPA CHINI...
No comments