Baadhi ya mashabiki wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mr Favour wameonekana kukerwa na video ya nyimbo mpya ya mwanamuziki huyo kutokana na mavazi aliyokua amevalia mdada aliye cheza kama video queen wa ngoma hiyo.
Kupitia Youtube mashabiki hao wametoa maoni yao kuhusu video hiyo ambao wengi wameoneka kukwazika na mavazi ya ufukweni aliyokua amevaa mrembo huyo.
Tazama hapa chini video......
No comments