Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » WILL SMITH KUTOMKUBALI MGOMBEA URAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP

WILL SMITH
Msani maarufu nchini Marekani Will Smith, ambaye ni Muigizaji na Mwanamuziki ameonyesha wazi wazi kutokumkubali Mgombea Urais Donald Trump kutokana na hotuba mbali mbali ambazo amekua akitoa mgombea huyo katika Campaign zake.

Akiongea kutokea Dubai ambako amekwenda kwa ajili ya kutangaza movie yake. Will Smith amenukuliwa akisema " ... inauma kumuona Trump akiongea na ni aibu kwa Mmarekani kumuona Trump akiongea"

Msanii huyo ameonekana kinara wa kupinga kauli za Trump na kuonesha hisia zake kuto mkubli wazi. wiki iliyopita Akiwa Australia alizungumza kupitia Suicide Squad Press event akisema "...Mwanaume anaye mrifa mwanamke kama Nguruwe mnene hunifanya nitokwe na machozi, na kadamnasi inayoshabikia maneno hayo, huo ni uchizi kwangu.."

Will Smith ni baba wa Mastar wawili ambao ni Willow na Jarden, Msanii huyo anaonekana baba bora ambaye ameweza kunyanyua na kukuza vipaji vya watoto wake katika Uigizaji na uimbaji.


«
Next
Download New Video: BONGE LA NYAU ft Q CHILLAH 'AZA'
»
Previous
DANI CARVAJAL AIPATIA UBINGWA REAL MADRID KATIKA UEFA SUPER CUP

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC