Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » » UGANDA ; BOBI WA WINE AJIUNGA SHULE YA SHERIA



Msanii wa muziki kutoka Uganda Bobi wine maarufu kama Gheto President ameamua kuongeza elimu yake kwa kuanza kuchukua masomo ya sheria katika chuo cha International University of East Afrca.
Dhamira ya mwanamuziki huyo ni kugombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi unaofata nchini humo hivyo anaamini akiwa kama mtunga sheria anahitaji uelewa wa sheria hivyo ameamua kuanza rasmi masomo hayo.
Bobi wine ana shahada ya Music Dance and Drama aliyoipata Makerere University.Kupitia mitandao ya kijamii gheto president Bobi wine, ameshea na shabiki wake picha yake akiwa amevalia vazi la kisheria.

BOBI WINE AKIWA KATIKA VAZI LA KISHERIA


Moja ya videos za Bobi wine Tazama hapa...


«
Next
FASHION ; CELEB CHRISTIAN BELLA ANAVYO TUPIA
»
Previous
TAZAMA VIDEO CLIP BOVI KOMEDIAN KUTOKA NIGERIA

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC