Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » » NIGERIA; OMOTOLA JALADE KURUDI TENA KATIKA UIGIZAJI



Baada ya kimya cha takribani miaka mitatu, muigizaji kutoka Nigeria OMOTOLA JALADE ameamua kurudi kaika uigizaji ambapo tayari yupo katika project ya ALTER AGO, huku akieleza sababu zilizo mfanya akae kimya kwa muda mrefu ni kuwa alikua hajapata script zilizokuwa zikimvutia kwa muda mrefu.

Vile vile ameeleza kiwa kutoka nje ya nchi na kujichanganya na watu mbali mbali kumemfanya aione thamani yake na jinsi anavyokubalika, tofauti na jinsi anavyokua ndani ya nchi ambapo anajiona wakawaida sana. hivyo basi amepata motisha ambayo imemfanya arudi katika uigizaji na Alter Ago huku akimiminia sifa director wa movie hiyo.

Tazama video hapa chini......



«
Next
DJ D- OMMY AFANYA REMIX YA HIGHER (JOH MAKINI & NIKK WAPILI)
»
Previous
FASHION ; CELEB CHRISTIAN BELLA ANAVYO TUPIA

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC