BAADHI YA PICHA ZA DARAJA ZIKIONESHA UREFU WA DARAJA
China imezindua rasmi daraja lake ambalo limetengenezwa kwa vioo lenye urefu wa mita 430. Daraja hilo limejengwa katika bonde lenye urefu wa mita 300 kwenda chini. Ni daraja lenye kuvutia na lakipekee kwa jinsi lilivyo dizainiwa kwa vioo na huenda likaongeza utalii nchini humo. Daraja hilo kwa vile limejengwa kwa vioo limeonekana kuwaogopesha baadhi ya watu wapitao daraja hilo kwa kuhofia kuvunjika kwa vioo hivyo ambavyo vimepangwa kwa chini,
Daraja hilo lili dizainiwa na mbrazil na lilimalizika decemba mwaka jana.
Tazama Video ya Daraja la China...
No comments