Home
»
INTERNATIONAL NEWS
»
VIDEO :KATY PERRY AVUA NGUO NA KUWAHIMIZA WANANCHI WA MAREKANI KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU
VIDEO :KATY PERRY AVUA NGUO NA KUWAHIMIZA WANANCHI WA MAREKANI KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU
Mwanamuziki Katy Perry anayetamba kwa nyimbo ya RISE ametengeneza kipande cha video akiwahimiza wananchi wa Marekani kujitokeza kupiga kura za urais tarehe 8 November 2016.
Ujumbe katika vidoe hiyo ni kwamba " HAIJAISHI VILE UNAVYO VAA JITOKEZE KUPIGA KURA" lakini mwanamuziki huyo amekwenda mbali zaidi na kuweka utani kwa kusema kwamba unaweza ukaja bila nguo kwani katiba haija zungumzia juu ya mavazi.
Kety Perry ameonekana akimsapoti mgombea urais kupitia chama cha Democratic Hilarry Clinton.
TAZAMA VIDEO HAPA......
No comments