Home
»
LOCAL NEWS
»
VIDEO : FAHAMU SAFARI YA MCHEKESHAJI KATARINA WA KARATU MPAKA KUFANIKIWA KATIKA UCHEKESHAJI.
VIDEO : FAHAMU SAFARI YA MCHEKESHAJI KATARINA WA KARATU MPAKA KUFANIKIWA KATIKA UCHEKESHAJI.
Kupitia interview aliyofanya mchekeshaji ambaye pia ni mc. Katarina wa karatu na Millard ayo, ametiririka jinsi alivyo anza safari yake ya uchekeshaji mpaka kuwa maarufu. katika interview hiyo Katarina ameeleza jinsi alivyo anza maisha yake na juu kiwango chake cha elimu vile vile ameeleza hata watu waliomsaidia mpaka kufikia kufahamika. chini ni kipande cha video kikimuonesha Katarina akielezea safari ya mafanikio yako kupitia ayo tv.
No comments