Imekuwa ni destuli kwa wamarekani kuwakutanisha wagombea urais wa nchi hiyo katika majukwaa ya malumbano ili kupima uwezo wao wakuweza kudadavua mambo. kwa Taifa hili pamoja na kupiga kampeni za kitaa midahalo ya wagombea urais huwasaidia wananchi kuweza kutambua yupi anafaa kuliongoza taifa hilo. ambapo kama unafatilia vizuri mmitandaoni unaweza kuona waandishi mbali mbali wanavyo report jinsi mdahalo wa kwanza ulivyo badili upepo wa gombea hao.
HOT BONGO 255 inakudondoshea kipande cha video cha mdahalo huo ambao upo kwa lugha ya kingereza na kukuacha na swali kwamba je kama wewe ungekuwa raia wataifa hilo mwenye sifa za upigaji kura ungempa nani kupitia mdahalo wa wagombea hao?
No comments