Home
»
INTERNATIONAL NEWS
»
HIVI NDIVYO MCHEKESHAJI TREVO NOAH ALIVYO WEZA KUMCHAMBUA TRUMP KUPITIA DEBATE YA KWANZA YA WAGOMBEA URAIS MAREKANI
HIVI NDIVYO MCHEKESHAJI TREVO NOAH ALIVYO WEZA KUMCHAMBUA TRUMP KUPITIA DEBATE YA KWANZA YA WAGOMBEA URAIS MAREKANI
Mchekeshaji kutoka South Afrca Trevo Noah anaendesha kipindi cha Daily show ametengeneza headline ndani na nje ya Africa baada ya kuchambua maneno na vitendo mbali mbali alivyoluwa akifanya Mgombea urais Mr. Trump.
Tazama kIpande cha video kuona jinsi komediani huyo alivyoweza kuchambua vitendo na kauli za wagombea urais hao hususan Trump ambaye ameonekana kushambuliwa sana katika video clip hiyo.
No comments