HAKUNA UGOMVI KATI YA NUHU NA SHLOLE
Inapendeza kuona amani inatawala katika maisha ya wanadamu. Basi ule mtafaruku tuliokua tukiushudia kupitia media na vyanzo mbali mbali vya habari kuhusu waliokua wapendanao yani Nuhu Mziwanda na Shilole umemalizwa baada ya wawili hao kukumbatiana wakiwa kwenye gari la fiesta katika fiesta tour.
Tazama video hapa chini...
No comments