Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » RAPPER DARASA AZIDI KUITEKA AFRIKA NA "MUZIKI" HADI MARAIS HAWATAKI MANENO WANATAKA MUZIKI!

 Image result for darasaImage result for kagame and his wife
Wimbo wa msanii kutoka BONGO TZ umezidi kubamba Africa hii inadhihirisha jinsi gani wimbo huo ulivyotokea kupendwa na wadau wengi wa muziki. matangazo mengi ya channel za DSTV yamekuwa yakitumia wimbo wa rapper Darasa katika kutangaza vipindi mbali mbali.

katka hali ya kufurahisha zaidi HOT BONGO imenasa kipande cha video ambacho kinaonesha Raisa Kagame na mke wake wakiburudika katika moja ya sherehe zao wakiwa na wadau wengine. hii ni wazi kuwa Darasa anahitaji kutumia fursa hii kuzunguka Afrika kabla pumzi ya wimbo huu haujakata.




«
Next
ROBERTO MKALI WA AMARULA KAJA NA HII TRACK " INTO YOU"
»
Previous
GAMBIA; JESHI LA UNGA MKONO UAMUZI WA RAIS JAMMEH

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC