Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » GAMBIA; JESHI LA UNGA MKONO UAMUZI WA RAIS JAMMEH

 Image result for general badjie gambia
 jenerali Ousman Badjie mkuu wa jeshi la taifa gambia.

Mkuu wa jeshi la taifa jenerali Badjie ameunga mkono uamuzi wa Rais wa taifa hilo Yahya Jammeh kuendelea kubaki madarakani baada ya kushindwa na mpinzani wake Adama Barrow.

Awali Rais Jammeh ALIKUBALI matokeo ya uchaguzi huo lakini baadaye alikataa na kudai kuwa kulikuwepo na udanganyifu wa kura.

Uingiliaji wa kati wa Jenerali Badjie unakuja baada ya vitisho vya kijeshi vya jamii ya kiuchumi ya mataifa ya Magharibi ECOWAS iwapo Jammeh atakataa kuondoka madarakani ifikiapo Januari 19.
Huku Rais Jammeh akidai kuwa hatua yoyote kama hiyo itasababisha vita.
Image result for barrow and jammeh gambia
kutoka kushoto Rais Jammeh na Mpinzani wake Barrow
«
Next
RAPPER DARASA AZIDI KUITEKA AFRIKA NA "MUZIKI" HADI MARAIS HAWATAKI MANENO WANATAKA MUZIKI!
»
Previous
Unaweza kutazama action movie kupitia hot bongo 255

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC