Diamond Platnumz ameachia kipande cha video kikionesha Mjengo mpya wa kifahari anaomiliki kwa sasa. Katika video hiyo diamond amemshukuru first lady wa WCB kwa kuwa kiongozi bora wa familia yake.
HOT BONGO 255 MEDIA inampongeza Msanii huyo kwa hatua aliyofikia....
Jionee Mjemgo huo hapa chini...
No comments