Habari njema kwa mashabiki wa mwanamuziki Janet Jackson mdogo wa Marehemu Michael Jackson anatarajia kupata mtoto akiwa na umri wa miaka 50.
Janet ameiambia People Magazine " tunamshukuru Mungu kwa baraka zake" huku akionyesha mimba yake.
Hivi karibuni Janet alionekana London akifanya manunuzi ya mahitaji muhimu kwa mtoto wake
Ndugu ambao wako karibu na ndada huyo waliiambia People Magazine kuwa Janet anafurahi sana kuhusu mimba yake na inaendele vizuri. Janet Jackson ameolewa na Wissam Al Mana ambaye ni mfanya biashara.
JANET JACKSON AKIWA NA MUME WAKE WISSAM AL MANA
No comments