Home
»
LOCAL NEWS
»
HAYA NDIO MAJADILIANO ALIYO FANYA MICHELE OBAMA VANESSA MDEE NA BAADHI YA WANAFUNZI WA KIKE WA TANZANIA
HAYA NDIO MAJADILIANO ALIYO FANYA MICHELE OBAMA VANESSA MDEE NA BAADHI YA WANAFUNZI WA KIKE WA TANZANIA
Jana October 11 ilikuwa ni siku yamsichana Duniani Jarida la Glamour liliandaa majadiaono maalumu kuhusu elimu kwa watoto wa kike ambapo Vanessa Mdee aliwaongoza wanafunzi wa kike 25 kutoka Tanzania kuzungumza na first lady wa Marekani Michelle Obama. wakionge live kutokea Ubalozi wa Marekani mwanafunzi Nasra Abdallah aliweza kuelezea changamoto mbali mbali wasichana watanzania wanazozipata hasa zile zinazohusiana na utamaduni kama ukeketaji lakini pia Nasra alipata fursa ya kumuuliza sawli first lady Michelle Obama.
Hii ndiyo video ikionyesha majadiliano hayo...
.
No comments