HUYU NDIYE MTOTO WA VAN DAMME ALIYEFATA NYAYO ZA VAN DAMME.
Kama msemo usemavyo LIKE FATHER LIKE SON yani kama baba kama kijana wake. Basi ni kwamba mkali wa msamba na mfalme wa mateke ya kuzunguka duniani, amejikuta akipata mrithi wake wa utashi wa kucheza na miguu yake jambo ambalo lilimpa sifa kubwa duniani Mr. Jean Cloude Van Damme ambaye ni bint wake anayefahamika kwa jina la BIANCA BREE.
HOT BONGO 255 imekuandalia Video mbili zikionyesha uwezo wa binti huyo wa kucheza na mateke pamoja na msamba kama baba yake
No comments