Zulehah Hassan
Mange ambaye amekuwa controversial mtandaoni kwa muda sasa, alidai
kuwa na vitibitisho vingi vya kumuumbua mchumba huyo wa Diamond kuwa
amekuwa akiudanganya umma kwa muda mrefu.“This is not Zari’s little sister. Zuleha is her daughter. Ndo mwanae wa kwanzaa, Yeleuwiiiiiiii… Jamani ni mwanae huyuuuuu wa kumzaaaa. Na Huyu Zuleha ana mtoto that means Zari is a grandmother. Kill me now, someone kill me now,” aliandika Mange kwenye post yake ya Instagram inayomuonesha Zari na Zulehah.
Amepost post zingine takriban 15 zenye kuzungumzia suala hilo.
Japo Zari hajajibu chochote, mdogo wake Zulehah amezijibu tetesi hizo kwa kuweka picha mbili zinazoionesha familia nzima enzi wakiwa watoto.
Zari (wa pili kutoka kushoto) akiwa na wadogo zake akiwemo Zulehah
“Who’s yo mama,” aliandika kwenye picha hizo mbili zinazomuonesha Zari na wadogo zake akiwemo Zulehah mwenyewe.
Kwa muda mrefu kumekuwepo na tetesi kwenye vyombo vya habari vya udaku nchini Uganda kuwa Zari ana mtoto mwingine mkubwa wa kike. Mange alianza kumshambulia Zari baada ya hivi karibuni staa huyo kumkejeli kwenye Snapchat kwa kuachwa na mume wake.
Akipost picha hiyo kwenye Instagram, Mange aliandika:
Sio kwa dongo hili jamani mtaniuaaaaaaaa , mume anauma sana jamaniiiiii alafu Mtu anakucheka unaweza kunywaa sumu……..dongo la Zari Hilo. Zari you are very right karma serves you exactly what you deserve. Exactly what you did to Wema is happening to you now. Karma is definitely a bitch.”
No comments