Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » Lady Gaga atangaza kuachana na mchumba wake

Lady Gaga na Taylor Kinney wakiwa pamoja
Ameandika ujumbe kwenye Instagram na kuwaomba mashabiki wawasaidie na kuwaunga mkono.
Lady Gaga na Taylor Kinney ambaye ni mwigizaji na mwanamitindo wamekuwa pamoja kwa miaka mitano lakini uvumi umekuwa ukienea kwamba urafiki wao haupo tena. Amesema bado wanapendana sana lakini juhudi zao za kutaka kutimiza ndoto zao maishani, kuwa mbali pamoja na shughuli nyingi za kikazi vimetatiza uhusiano wao.
Lady Gaga, 30, alichuambiana na Taylor Kinney, baada ya kukutana naye akiandaa video ya wimbo wa You and I mwaka 2011. Alimchumbia siku ya Wapendanao mwaka 2015, na akamvisha pete ya almasi ya umbo la moyo.
Gaga, ambaye jina lake halisi ni Stefani Joanne Angelina Germanotta, pia ameonekana mara kadhAa akiwa hajavalia pete ya uchumba. Mashabiki wao huwaita wawili hao “Tayga”, kutokana na majina yao Taylor na Gaga.


«
Next
Zulehah azizima tetesi za kuwa ni mtoto wa Zari kwa picha hizi 2
»
Previous
Hii video mpya ya Y-Tony ‘Martina’ itazame hapa.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC