![](https://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/01/lissu4444.png?resize=660%2C400)
Jana tarehe12 2017 mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu alizungumza kuhusu mbunge Peter Lijuakali wa kilombero kwa ticket ya chadema ambaye tarehe 11 januari ya mwaka huu alihukumiwa miezi 6 jela bila fine baada ya kupatikana na hatia ya kufanya vurugu wakati wauchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri ya yawilaya ya kilombero.
Tazama video hapa chini......
No comments