Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » MOTO MKALI WAANGAMIZA MJI WA CHILE NA KUHARIBU TAKRIBANI NYUMBA 1500.



Moto huo umeenea kwa kasi sana maeneo ya kati ya Chile, ambapo unasaidiwa na upepo mkali, kiwango cha juu cha joto na hali kwamba maeneo hayo yamekabiliwa na kiangazi kwa muda.
Mji Santa Olga, unaopatikana kilomita 240 kusini mwa Santiago umeharibiwa kabisa na moto huo. nyumba takribani 1500 za haribiwa na moto huo.
Moto mkali umetanda sehemu kubwa ya mji wa chile na kuangamiza makazi ya watu moto huo umesababishwa na joto kali huku ukichochewa na upepo mkali na kwamba maeneo hayo yamekuwa yakikabiliwa na kiangazi kwa muda mrefu sana.
Moto huo umeasiri san Mji wa Olga uliopo kusini mwa Santiago. maafisa wa nchi hiyo wameeleza kuwa moto huo bado unaendelea kutanda. huku watu takribani 6000 wamefanikiwa kukimbia makazi yao kwa ajili ya kunusuru maisha yao.
katka harakati za kuzima moto huo wazima moto watano wamefariki dunia wakiwa kazini.
Baadhi ya mataifa yametuma vikosi vya wazima moto kusaidia kuzima moto huo Chile. huku Urusi ikituma ndege kubwa tani kadhaa za maji kujaribu kuzima moto huo. 
Kipande cha video kikionyesha jinsi Moto huo unavyoiangamiza Chile.


«
Next
New Music Video ; DAYNA NYANGE ft BILLNASS - KOMELA
»
Previous
Assistant Branch Manager at Tanzania Postal Bank PLC (TPB)

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC