Hii ndio ndege ya kifahari inayomilikiwa na Rais Donald Trump ambae ni mfanya biashara maarafu nchini Marekani. Kulingana na taratibu za nchi hiyo Rais Trump atalazimika kuacha kutumia ndege hiyo na kuanza kutumia ndege ya Rais inayojulikana kama AIR FORCE ONE.
Home
»
GOSSIP
»
TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO NA BAADHI YA PICHA ZINAZOONYESHA NDEGE ANAYOMILIKI RAIS TRUMP.
No comments